Davies Davies
Senior Member
- May 20, 2013
- 118
- 12
Kwa anaye fahamu kuhusu chuo cha madini Dodoma(MRI) naomba anijuze.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unataka kujua nini?specify,mtu ataeleza nini kama kujajielekeza kwenye matakwa yako unataka kujua nini
ndo ulitakiwa kueleza haya ili anaejua akifika hapa asiwe na maswali bali atoe majibu,subiri wahusika wajeNataka nijue ada, mazngira ya chuo na jinsi ya kujiunga na chuo
ndo ulitakiwa kueleza haya ili anaejua akifika hapa asiwe na maswali bali atoe majibu,subiri wahusika waje
Nataka nijue ada, mazngira ya chuo na jinsi ya kujiunga na chuo
Unataka Course gani..? na upo Region gani?
Npo Dar na nlikuwa nahitaji course ya Geology
Hiyo utapa, cha kufanya nenda Wizara ya madini kuna ofisi inahusika na join instruction ya hicho chuo hivyo watakupa maelekezo mazuri tu.
Nashkuru mkuu
Chuo Ni Kizur Kipo Nje Kidogo Ya Mji,along Arusha Road,kiko Karib Na Chuo Cha Mipango Kwa Upande Wa Kus,kina Hostel Za Nje Na Ndan Na Huduma Nying Za Kijamii Zinapatikana
ndo ulitakiwa kueleza haya ili anaejua akifika hapa asiwe na maswali bali atoe majibu,subiri wahusika waje
Unamaanisha nini mkuu.??Oops, jiandae na chaufss