DOKEZO Chuo cha Maendeleo ya Jamii jijini Mbeya kilichopo Uyole(CDTI) kinaendeshwa kihuni

DOKEZO Chuo cha Maendeleo ya Jamii jijini Mbeya kilichopo Uyole(CDTI) kinaendeshwa kihuni

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Fendi

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2015
Posts
315
Reaction score
410
Kuna Hiki Chuo Cha Mandeleo Ya Jamii Jiji Mbeya Ambacho Kipo Eneo la Uyole Imekuwa Kikiendeshwa Kihuni huji Sana Bila Kujali Wanafunzi Wake..

Moja Kati ya Jambo Kubwa ni Chuo Kuchangisha Wanafunzi Fedha za Bima Za Afya, Halafu Pesa Hizo Zinapotelea Kusikojulikana.

Mwnafunzi anaugua na kwenda Hospital, Taarifa zake unakuta zinaonekana Hazipo na wala Hajalipia Bima, Wakati Pesa alishatoa Kwa Mhasibu Wa Chuo...

Pia Jambo Lingine Chuo kimekuwa na Tendency ya Kutoa Matokeo au Matangazo mbalimbali ya Chuo Kupitia Njia za MA Group ya Whatsap Ya wanafunzi Badala ya Kuwa Na Notice Board Maalumu...

Mambo Ni Mengi Sana, Lakini Kiugupi Chuo Hiki Kinaendeshwa Kihuni.. SERIKALI Ikiangalie Uongozi Wake..
 
Back
Top Bottom