[emoji3516]Wakuu,nmechaguliwa kozi ya Bachelor Degree in Community Development for water supply and sanitation katika chuo tajwa hapo juu.
Hivyo naomba kama kuna mtu amewahi kuisoma kozi hiyo anisaidie hata msaada wa mawazo ni jinsi gani ntaweza kuisoma vizuri bila shida,na pia mzangira ya chuo kiujumla yako vipi.
Pia suala la malazi,je hostel zinapatikana chuoni au ni kupanga chumba mtaani karibu na chuo?
Wakuu,karibuni kwa mawazo chanya kuhusu kozi hiyo[emoji120]
[emoji1]ni Ubungo mkuu[emoji3516]
KWA KIFUPI TU,
UKISOMA UBUNGO_MAJI, KWA KIASI FULANI UNAJISIKIA KUWA UKO MJINI,
KWA SABABU NI HATUA CHACHE SANA KUFIKA KICHUGUUNI!!!
[emoji41][emoji41][emoji41]
Mkuu nilisoma combination ya HGK,, shukrani sana kwa ushauri mkuuNenda kasome
chuo maji ipo sokoni sana kwa miaka ya hivi kalibuni
NB;umesoma combination gani ama kama ni diploma ulichukua fani gani
Ukinijibu nitakwambia kitu
nnime maliza 4 na nina c masomo yote alafu sija soma (p) naweza kusoma sanitation engineerNenda kasome
chuo maji ipo sokoni sana kwa miaka ya hivi kalibuni
NB;umesoma combination gani ama kama ni diploma ulichukua fani gani
Ukinijibu nitakwambia kitu