happiness win
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 2,461
- 1,392
Ambitious utaniweza wapi? lol... Toka lini David Palmer aliyumbishwa na Mapenzi? Hakuna atakae kuamini..... Mimi ndo hasa nafaa kwa hio nafasi, CV yangu imejaa maujuzi, nawaambia hadi kile kitab cha kamasutra mimi ndio nilichapisha kiswahili chake. Niwaambia huyo Mshindani wangu Ambitious si lolote.... he is just ambitious Like Palmer was on being the first black President... lol
Dahhh. Nahamu ya kupata PHD ya mapenzi .. je ni practical na theory? Au ni moja kati ya hizo mbili ..
Hivi kuna umuhimu wa kuwa na chuo cha mapenzi? Nini faida yake? Wahitimu watapata certificate ya mapenzi ambayo itatumika wakati gani? Hivi unafundishwa kumpenda mtu au mapenzi yako ndani ya mtu? Jamani kwa kweli sijaelewa na nina maswali mengi ambayo sipati majibu yake.
Nchi hii itajengwa na sisi wenye nchi tukiwa na elimu ya kufaa. Sidhani kama elimu ya mapenzi inahitajika kwa wakati huu mgumu kiuchumi, elimu mbovu, siasa ya kushibisha matumbo ya wachache, huduma mbovu kwa wagonjwa....... Mmmh hapana mapenzi yakae kando.