KERO Chuo cha Mipango kuna changamoto Wanachuo kucheleweshewa fedha za kujikimu

KERO Chuo cha Mipango kuna changamoto Wanachuo kucheleweshewa fedha za kujikimu

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Wizara ya Mikopo itazame Chuo vha Mipango kuna shida gani?

Kila mara Wanachuo wanacheleweshewa Fedha za Kujikimu (boom). Pesa ziliwekwa kwenye mfumo tangu Oktoba 19, 2024 kisha Oktoba 30 zikatolewa.

Wanaotumia NMB wamepata lakini CRDB bado, Chuo utaishi vipi hii wiki ya 3 bila fedha za kujikimu na Mzazi alishajiengua huko akiamini unapata fedha?

Mbona vyuo vingine vilivyofunguliwa pamoja wameshapatiwa hizo fedha?
 
Back
Top Bottom