Lyandembela1
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 277
- 113
Habari wanajamvi,
Naleta kwenu hii maneno tupate kushirukishana vituko hivi, Chuo cha Mipango na maendeleo vijijini mpaka wakati huu bado wanatoa matokeo ya mitihani kwa kubandika kwenye mbao za matangazo, wakati wanao ule mfumo wa "ARIS" na kitengo cha IT kipo chuoni pale na vijana wake katika kitengo kile ni watanashati kwelikweli.
Hii inatia aibu katika wakati huu wa sayansi na teknolojia, na ukizingatia wanafunzi tumefunga chuo. Nani atatusaidia kuyapata hayo matokeo yakiwa kwenye mbao za matangazo.
Lyandembela1 nawasilisha.