Chuo cha MIPANGO mpaka leo wanabandika matokeo kwenye mbao za matangazo

Lyandembela1

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2013
Posts
277
Reaction score
113
Habari wanajamvi,

Naleta kwenu hii maneno tupate kushirukishana vituko hivi, Chuo cha Mipango na maendeleo vijijini mpaka wakati huu bado wanatoa matokeo ya mitihani kwa kubandika kwenye mbao za matangazo, wakati wanao ule mfumo wa "ARIS" na kitengo cha IT kipo chuoni pale na vijana wake katika kitengo kile ni watanashati kwelikweli.

Hii inatia aibu katika wakati huu wa sayansi na teknolojia, na ukizingatia wanafunzi tumefunga chuo. Nani atatusaidia kuyapata hayo matokeo yakiwa kwenye mbao za matangazo.

Lyandembela1 nawasilisha.
 
Hapo pekundu , sasa hao watanashati ndo wanafanyaje?
 
Wanauza sura na kucheki tuu movie wakiwa ofisini, Kwani ikipi kinatumia muda mrefu kati ya kuappload hayo matokeo kwenye net na kuprint matokeo ya chuo kizima na kuanza kuyabandika kwenye mbao za matangazo ndg yangu MENISON ukinisaidia haya nitafuta usemi wangu.

Kipi kinazuia mfumo wa ARIS kufanya kazi wakati wataalamu wapo na wanalipwa mishahara bila shida.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…