mayoscissors
JF-Expert Member
- Nov 24, 2009
- 975
- 478
Baada ya serikali ya JK kufanya maamuzi ya kuwafukaza interns 380 sasa inahaha kuwatafuta wengine na jitihada zake ni kulazimisha matokeo ya mtihani uliomalizika wiki moja iliopita ili interns wote wasambazwe kuokoa jahazi ambalo limepinduka na karibia kuzama kabisa la huduma za tiba tanganyika.
Hii imefanya senate ya chuo cha muhas kukaa mapema isivyokawaida na swali kwa serikali je hao interns atawalipaje?
Una haki kusema hivyo, wewe c uzao wa mafisadi wanaoliua taifa hili? Remember"freedom is coming tomorrow"Mna kazi mwaka huu baada ya kamgomo kenu kuchemka
hapo nadhani wote watapasishwa ili waokoe jahazi
Mna kazi mwaka huu baada ya kamgomo kenu kuchemka