elivina shambuni
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 461
- 295
Zile ni Aircraft maintenance Engineering , sio uruban ni Uinjinia wa ndegeHivi zile kozi walizo kuwa wana fundisha kwa ada ya milioni zaidi ya 10 hazikuwa hizi za urubani? Sasa ndio wana anza?
Mmmh kuna shida sehemu... Labda hakukuwa na wanafunzi kipindi zina anzishwa hizo kozi sasa wana karibu kuzipa masoko wapate wanafunzi...
Hii ya urubani ina itwaje kiongozi...? Maana kuna dogo ana soma alimaliza diploma ya mechanics hapo NIT na wakati ana maliza na hizi kozi zikawa ndio zina anza... Akapita nayo mazima...Zile ni Aircraft maintenance Engineering , sio uruban ni Uinjinia wa ndege
Nimehitimu hapo
Labda hukumuelewa au alikudanganya , hiyo aliyopita nayo , inaitwa Bachelor degree in Aircraft maintenance engineering ,hii ina deal zaid na ufundi wa ndege kama engine n.k , awali ada ilikuwa million. 10, baadae ikashushwa had million 6 .Hii ya urubani ina itwaje kiongozi...? Maana kuna dogo ana soma alimaliza diploma ya mechanics hapo NIT na wakati ana maliza na hizi kozi zikawa ndio zina anza... Akapita nayo mazima...
Sasa ukiniambia urubani una anza Leo nitashangaa hakika wakati madogo wamesma na wanasoma...
Labda sina data kamili...
Labda hukumuelewa au alikudanganya , hiyo aliyopita nayo , inaitwa Bachelor degree in Aircraft maintenance engineering ,hii ina deal zaid na ufundi wa ndege kama engine n.k , awali ada ilikuwa million. 10, baadae ikashushwa had million 6 .
Hii mpya inayoanza ambayo itaanza na watu 10 ambayo serikali inawekeza ni Ya urubani , ambayo ni aviation ,
Hiyo iliyoanza miaka ya juzi sio urubani japo wengi huwa wanadhani hivo , hii ya sasa ndio urubani sasa.
sawa kiongoziLabda hukumuelewa au alikudanganya , hiyo aliyopita nayo , inaitwa Bachelor degree in Aircraft maintenance engineering ,hii ina deal zaid na ufundi wa ndege kama engine n.k , awali ada ilikuwa million. 10, baadae ikashushwa had million 6 .
Hii mpya inayoanza ambayo itaanza na watu 10 ambayo serikali inawekeza ni Ya urubani , ambayo ni aviation ,
Hiyo iliyoanza miaka ya juzi sio urubani japo wengi huwa wanadhani hivo , hii ya sasa ndio urubani sasa.
Japo mm mchelewaji ila ada 10million kama Mimi nitaweza kweliLabda hukumuelewa au alikudanganya , hiyo aliyopita nayo , inaitwa Bachelor degree in Aircraft maintenance engineering ,hii ina deal zaid na ufundi wa ndege kama engine n.k , awali ada ilikuwa million. 10, baadae ikashushwa had million 6 .