chuo cha NIT

chuo cha NIT

Mr pesa

Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
79
Reaction score
7
napenda kufaham kuhusu kozi ya Mechanical Engineering wanayotoa NIT ipo fiti kama za DIT,MIST au ST.joseph ,pia ina maslahi mazuri katika sekta zipi? msaada wenu wana jukwaa
 
kuna mtu alinishauri nisisome fani iyo eti ajila zake ni za shida sana.jaman kweli?
 
Back
Top Bottom