M Mr pesa Member Joined Mar 20, 2013 Posts 79 Reaction score 7 Sep 29, 2013 #1 napenda kufaham kuhusu kozi ya Mechanical Engineering wanayotoa NIT ipo fiti kama za DIT,MIST au ST.joseph ,pia ina maslahi mazuri katika sekta zipi? msaada wenu wana jukwaa
napenda kufaham kuhusu kozi ya Mechanical Engineering wanayotoa NIT ipo fiti kama za DIT,MIST au ST.joseph ,pia ina maslahi mazuri katika sekta zipi? msaada wenu wana jukwaa
M Mr pesa Member Joined Mar 20, 2013 Posts 79 Reaction score 7 Sep 29, 2013 Thread starter #2 kuna mtu alinishauri nisisome fani iyo eti ajila zake ni za shida sana.jaman kweli?