Habari wanaJF!
Nilikuwa naomba kujuzwa kuhusu mwenye kujua chuo kilichosajiliwa na kinachotambuliwa na serikali kinachotoa kozi ya Uuguzi na Ukunga kwa ngazi ya cheti/stashahada (certificates/diploma) katika mikoa ya Iringa, Mbeya, Morogoro au Mtwara.
Pia namna/sifa ya kujiunga na chuo hicho pamoja na ada zao.
Ahsanteni..!