jajcom Senior Member Joined Jan 4, 2013 Posts 125 Reaction score 192 May 31, 2013 #1 wadau kuna bwana mdogo hapa amepata div 4 ya 27 akiwa na D flat na C ya biology, naomba msaada kwa yeyote anaefaham vyuo vya missions/privates vinavyotoa kozi ya nursing hasa kwa hapa Dar hata mikoani. Natanguliza Shukrani!!
wadau kuna bwana mdogo hapa amepata div 4 ya 27 akiwa na D flat na C ya biology, naomba msaada kwa yeyote anaefaham vyuo vya missions/privates vinavyotoa kozi ya nursing hasa kwa hapa Dar hata mikoani. Natanguliza Shukrani!!