Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thnks,kama kuna vyuo vingine vya sheria pia naomba unitajie ili niwe na wide choice.
Kwa Dar sina uhakika sana, may be wenzangu watakusaidia.
Kwa vyuo vilivyo nje ya Dar, kuna chuo maalum cha sheria kipo wilayani Lushoto mkoani Tanga kinaitwa IJA (Institute of Judicial Administration). Hawa wanatoa elimu ya cheti na stashahada ya sheria. Tovuti yao ni www.ija.ac.tz. Wengine ni Mzumbe University nao wanatoa elimu ya cheti na stashahada ya sheria.