Chuo cha sheria kinachotoa certificate

Ford89

Senior Member
Joined
Jul 31, 2011
Posts
128
Reaction score
15
Naomba mnifahamishe chuo cha sheria kinachotoa certificate kwa Dar es salaam ni chuo gani na kipo wapi?
 
Kitivo cha sheria cha chuo Kikuu cha Dar Es Salaam wanafundisha kozi hiyo unayotaka kusoma.
Wanatoa cheti cha sheria (Certificate in Law). Kwa habari zaidi gonga hapa.
 
Thnks,kama kuna vyuo vingine vya sheria pia naomba unitajie ili niwe na wide choice.
 
Thnks,kama kuna vyuo vingine vya sheria pia naomba unitajie ili niwe na wide choice.

Kwa Dar sina uhakika sana, may be wenzangu watakusaidia.
Kwa vyuo vilivyo nje ya Dar, kuna chuo maalum cha sheria kipo wilayani Lushoto mkoani Tanga kinaitwa IJA (Institute of Judicial Administration). Hawa wanatoa elimu ya cheti na stashahada ya sheria. Tovuti yao ni www.ija.ac.tz. Wengine ni Mzumbe University nao wanatoa elimu ya cheti na stashahada ya sheria.
 

umenisaidia pia,asante
 
Ebwana daah
nashukuru sana mkuu
 
azania college of management kipo karibu na richmond tower upanga magharibi mtaa wa mindu
 
Dar kuna Bagamoyo University kule kawe, Kampala International University Gongo la Mboto campus, Azania na UDSM. Nje ya Dar kuna Mzumbe cha moro, Ruco cha iringa, Ija cha lushoto, St Augustine cha mwanza, St John cha dodoma, Eckernforde cha tanga, TIKU cha mbeya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…