DOKEZO Chuo cha teknolojia Ujenzi Morogoro hakina wakufunzi wakutosha, wanatumia wakufunzi wa part time ila cha ajabu hawawalipi

DOKEZO Chuo cha teknolojia Ujenzi Morogoro hakina wakufunzi wakutosha, wanatumia wakufunzi wa part time ila cha ajabu hawawalipi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Martiall

New Member
Joined
Dec 20, 2024
Posts
2
Reaction score
1
Habari ndugu zangu,

Kuna chuo kimoja kinaitwa ICOT hapo mjini Morogoro kipo chini ya wizara ya ujenzi kinatoa course za diploma kwa electrical, mechanical na civil engineering aisee kina changamoto kubwa sana.

Chuo hakina wakufunzi wakutosha kwaio wanatumia wakufunzi wa part time ila cha ajabu hawawalipi kabisa wakufunzi kwa wakati inaweza kupita semester nzima mwalimu hajalipwa hata mia, ukiuliza viongozi hupewi majibu ya kueleweka ukimfuata mhasibu ndo kabisaa ni calendar tu.

Kwanza kumuona tu mhasibu ni mtihani na anafika kazini muda anaotaka yeye. Sasa inakuaje chuo kinakosa hela ni kina wanafunzi zaidi ya 200 na wanalipa ada million 1 kwa kila mwanafunzi?

Wizara ya Ujenzi ni heri mkakifunga chuo chenu maana kwa hali hii hata quality ya elimu inayotolewa ni dhaifu na hii itapelekea kuzalisha watalaamu wasio na
 
Back
Top Bottom