Chuo cha TIA kimenipangia kampasi ya Mwanza kusoma kozi ambayo haipo

efet_2410

New Member
Joined
Nov 28, 2023
Posts
1
Reaction score
0
Niliomba chuo(TIA) na kupata nafasi. Aidha nilipangiwa campus ya Mwanza.

Nimefika kwa ajili ya Udahili naambiwa nimepangiwa chuo kimakosa, kozi hiyo haipo kwa hapa Mwanza natakiwa niende Dar es salaam au singida kwenye Branch zao zilizopo huko.

Kwangu Mimi huu ni usumbufu wa hali ya juu kwani nimeathirika kisaikolojia na wameharibu mipango yangu ya kujiendeleza . Na hata hawajali wameishia kunipa Pole tu
 
Basi kaa Mwanza uvue samaki wewe dogo. Unapewa option ya kwenda Tanzania unaleta nyodo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…