Chuo cha tumaini tawi la dar es salaam kufanya uchaguzi wa viongozi wa chadema tar.16.3.2013

Generalkaduma

Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
20
Reaction score
5
Breacking newsssss......!!!

Hallow taarifa kwa wanachama,na makamanda wa chamanda kutakua na uchaguzi mwezi wa tatu tarehe 16.03.2013 siku ya jumamosi.wanachama kwa anahitaji kuwa kiongozi fomu za kugombea zipo tayari pata haki ya kikatiba.kwa maelezo zaidi ingia kundi (group) la facebook linaloitwa tudarfans.

Peoplesssssss................................?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…