Chuo cha Ualimu Dakawa, Kilosa mkoani Morogoro kinafanyiwa upanuzi

Chuo cha Ualimu Dakawa, Kilosa mkoani Morogoro kinafanyiwa upanuzi

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
MAMA ANATEKELEZA - UPANUZI WA CHUO CHA UALIMU DAKAWA, KILOSA MKOANI MOROGORO

Jumla ya Majengo 32 yanagharimu kiasi cha shillingi billioni 8.5.

Kukamilika kwa mradi kutawezesha ongezeko la udahili kutoka wanachuo 500 hadi 1000 kwa mwaka.

#SamiaAPP
#KaziIendelee

 
Asante kwa taarifa, msalimie Masine hapo..
 
Nimeshangaa sana hivi mpaka leo bado kuna watu wanasomea ualimu
 
Back
Top Bottom