Ojuolegbha JF-Expert Member Joined Sep 6, 2020 Posts 1,278 Reaction score 797 Sep 2, 2024 #1 MAMA ANATEKELEZA - UPANUZI WA CHUO CHA UALIMU DAKAWA, KILOSA MKOANI MOROGORO Jumla ya Majengo 32 yanagharimu kiasi cha shillingi billioni 8.5. Kukamilika kwa mradi kutawezesha ongezeko la udahili kutoka wanachuo 500 hadi 1000 kwa mwaka. #SamiaAPP #KaziIendelee Your browser is not able to display this video.
MAMA ANATEKELEZA - UPANUZI WA CHUO CHA UALIMU DAKAWA, KILOSA MKOANI MOROGORO Jumla ya Majengo 32 yanagharimu kiasi cha shillingi billioni 8.5. Kukamilika kwa mradi kutawezesha ongezeko la udahili kutoka wanachuo 500 hadi 1000 kwa mwaka. #SamiaAPP #KaziIendelee Your browser is not able to display this video.
Godman JF-Expert Member Joined Jun 23, 2013 Posts 423 Reaction score 650 Sep 3, 2024 #2 Asante kwa taarifa, msalimie Masine hapo..
EvilSpirit JF-Expert Member Joined Jun 15, 2017 Posts 10,576 Reaction score 16,644 Sep 3, 2024 #3 Nimeshangaa sana hivi mpaka leo bado kuna watu wanasomea ualimu
kichongeochuma JF-Expert Member Joined Jan 21, 2024 Posts 1,669 Reaction score 2,864 Sep 3, 2024 #4 EvilSpirit said: Nimeshangaa sana hivi mpaka leo bado kuna watu wanasomea ualimu Click to expand... Kwanini hujashangaa kuona uwepo wa wanafunzi?hapo ndipo napata mashaka na wewe.
EvilSpirit said: Nimeshangaa sana hivi mpaka leo bado kuna watu wanasomea ualimu Click to expand... Kwanini hujashangaa kuona uwepo wa wanafunzi?hapo ndipo napata mashaka na wewe.