Martin Mhina
Senior Member
- Jul 24, 2013
- 169
- 37
Naamin mko poa xna wakuu,kwa wale tuliochaguliwa chuo cha ualimu ILONGA tufahamiane hapa wenzangu nami nimeamua kuanzisha hi thread kwa wale wa ilonga tutambuane,ushaur,numba za cm,maoni so nawaclisha wanajamvi.