Chuo cha ualimu ilonga morogoro.

Martin Mhina

Senior Member
Joined
Jul 24, 2013
Posts
169
Reaction score
37
Naamin mko poa xna wakuu,kwa wale tuliochaguliwa chuo cha ualimu ILONGA tufahamiane hapa wenzangu nami nimeamua kuanzisha hi thread kwa wale wa ilonga tutambuane,ushaur,numba za cm,maoni so nawaclisha wanajamvi.
 
Nyie ndio mnaharibu wadg zetu, wewe huna weledi wa kuwa mwalimu; c=si???. Hopeless kbs mnataka namba muanze kutongozana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…