Sakata la ubadhirifu Wa hela chuo cha ualimu Korogwe limeibuka upya.
Hatua hiyo imekuja baada ya wazabuni kugoma kusambaza chakula cha kuwalisha wanachuo.
Aidha sakata hili liliwahi kuibuliwa na wakufunzi na kupelekea aliyekuwa kuu Wa chuo,makamu,mwasibu na boharia kuhamishwa wote.Udhaifu huu Wa chuo cha ualimu korogwe umelelewa na Mkurugenzi Wa elimu ya Ualimu bwana BAKARI ISSA.