Chuo cha Udaktari KCMC kinaenda na teknolojia, mitihani inafanywa online

GIBA KB

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2012
Posts
367
Reaction score
110
Ni mara yangu ya kwanza kufika hapa KCMC nimefurahi sana kuona chuo kilivyo cha kisasa katika kuendesha shughuli zake.
1.Mitihani inafanywa online
Mitihani yote inayofanywa hapa chuoni ufanyika online katika account maalum ya mwanafunzi.Marking na marks zote zinawekwa katika account binafsi ya mwanafunzi.Vilevile Lecturer anaweza ku-upload learning materials kwenye account binafsi ya mwanafunzi na kila mtu akapata kwa kudownload.
2.Computer laboratory za kisasa
Hapa chuoni kuna computer lab mbili kila moja ina computer zaidi ya 100 za aina ya MAC(Desktops).Free wifi yenye speed inapatikana.Hapa chuo ni vigumu kumkuta mtu na Hardcopy books,wengi wana books softcopy kwenye PC au Tablet.
3.Anatomy Laboratory ya kisasa kabsa.Anatomy lab ni ya kisasa kabsa yenye kila kitu na wataalam wazuri.Kwenye laboratory kuna screen kubwa na ndogo za kujifunzia.
4.Kila mwanafunzi anapata Tablet(Samsung galaxy Tablets) na external disks(Flash)
Hii inatolewa kwa wanafunzi wa udaktari tu,sio kozi nyingine
Yapo mengi mazuri km Library yenye vitabu vingi vya kisasa.
Nawakaribisha wenzangu hapa kcmc mujionee uzuri wa hiki chuo.
Nadiriki kusema hiki ni chuo cha kutumia teknolojia katika ufundshaji
 
hicho ni chuo cha teknolojia Tanzania kilichobaki.
 
msalimu Dr. kajiru interno med na mitiani yake ya....
 
Ulimaliza undergraduate wapi?
 
Baada ya mwaka mmoja hivi tukijaaliwa uzima nitatamani kukuuliza tena juu ya haya uliyoyaandika leo
 
Ni mara yangu ya kwanza kufika hapa KCMC nimefurahi sana kuona chuo kilivyo cha kisasa katika kuendesha shughuli zake.
1.Mitihani inafanywa online
Mitihani yote inayofanywa hapa chuoni ufanyika online katika account maalum ya mwanafunzi.Marking na marks zote zinawekwa katika account binafsi ya mwanafunzi.Vilevile Lecturer anaweza ku-upload learning materials kwenye account binafsi ya mwanafunzi na kila mtu akapata kwa kudownload.
2.Computer laboratory za kisasa
Hapa chuoni kuna computer lab mbili kila moja ina computer zaidi ya 100 za aina ya MAC(Desktops).Free wifi yenye speed inapatikana.Hapa chuo ni vigumu kumkuta mtu na Hardcopy books,wengi wana books softcopy kwenye PC au Tablet.
3.Anatomy Laboratory ya kisasa kabsa.Anatomy lab ni ya kisasa kabsa yenye kila kitu na wataalam wazuri.Kwenye laboratory kuna screen kubwa na ndogo za kujifunzia.
4.Kila mwanafunzi anapata Tablet(Samsung galaxy Tablets) na external disks(Flash)
Hii inatolewa kwa wanafunzi wa udaktari tu,sio kozi nyingine
Yapo mengi mazuri km Library yenye vitabu vingi vya kisasa.
Nawakaribisha wenzangu hapa kcmc mujionee uzuri wa hiki chuo.
Nadiriki kusema hiki ni chuo cha kutumia teknolojia katika ufundshaji

Kwani mnasoma Medicine and IT? Hiyo ni sehemu ndogo tu na muhimu katika chuo. Kwani kufanya mtihani online kutakufanya kuwa daktari mzuri? Inajulikana kuwa KCMC sawa na vyuo vingi Tanzania ina upungufu wa walimu wenye sifa, majengo n.k. Sijui kama priority ya chuo ilikuwa kununua MAC hizo mia wakati kuna matatizo lukuki kama si msaada tu.
 
Back
Top Bottom