Chuo cha ufundi JITA sasa kuanza kutoa mafunzo ya salon ngazi ya NVA

Chuo cha ufundi JITA sasa kuanza kutoa mafunzo ya salon ngazi ya NVA

CHUO CHA UFUNDI JITA

Senior Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
116
Reaction score
23
Baada ya chuo kusajiliwa na NACTVET kwa namba REG/NACTVET/VTC/0845 mafunzo ya salon kuanzia kusuka nywele mitindo mbalimbali na masuala yote ya urembo sasa yatakuwa katika mfumo rasmi ambapo wahitimu watapata cheti kinachotambuliwa na serikali tofauti na hapo awali.

Chuo cha ufundi JITA kilichopo Morogoro kimepata usajili huo na kuruhusiwa kutoa mafunzo NVA LEVEL I-II kwa miaka miwili kwa wahitimu wa kidato cha nne.

Wasiliana na chuo wa namba
0626 170 041
whatsap 0752 698 691
email; info@jita.ac.tz
website: www.jita.ac.tz
 
Back
Top Bottom