KERO Chuo cha Ufundi Polisi kuna shida gani vyeti vya HGV havitoki tangu tusome mwezi wa 5

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Madereva tuli itikia wito wa serikali wa kututaka turudi darasani kupata elimu ya usalama bara barani lakini shida inakuja kwamba sisi tumesoma intake ya 9 kuanzia tar 18 mwezi wa tano mpaka leo hii hatujapata vyeti.

Mabosi wamewapa magari yetu watu wengine, tuna familia, tunategemewa jamani kama kuna shida iwekwe hadharani tujue.
 
Polisi bila rushwa hawafanyi kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…