Mgm- JF-Expert Member Joined Aug 15, 2019 Posts 6,077 Reaction score 8,794 Jun 16, 2025 #1 Habari zenu humu, Tafadhali nauliza je ni chuo gani hapa tanzania kinafundisha kozi ya kutengeneza vyerehani? yaani SEWING MACHINES MECHANICS. Kama unajua jina la chuo, mkoa kilipo, ada, na muda wa kozi itakua vyema zaidi. ASANTENI.
Habari zenu humu, Tafadhali nauliza je ni chuo gani hapa tanzania kinafundisha kozi ya kutengeneza vyerehani? yaani SEWING MACHINES MECHANICS. Kama unajua jina la chuo, mkoa kilipo, ada, na muda wa kozi itakua vyema zaidi. ASANTENI.
LIKUD JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 19,943 Reaction score 37,839 Jun 16, 2025 #2 Hakunaga
Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 11,884 Reaction score 21,175 Jun 16, 2025 #3 Si washonaji hutengeneza wenyewe?
Mgm- JF-Expert Member Joined Aug 15, 2019 Posts 6,077 Reaction score 8,794 Jun 16, 2025 Thread starter #4 Lycaon pictus said: Si washonaji hutengeneza wenyewe? Click to expand... hapana, kuna mafundi kabisa kwa ajili ya matatzo makubwa ya cherehan. mshonaji anachoweza ni kubadili sindano, kubadilu bobbin na vtu vingne vidogo vidogo tu.
Lycaon pictus said: Si washonaji hutengeneza wenyewe? Click to expand... hapana, kuna mafundi kabisa kwa ajili ya matatzo makubwa ya cherehan. mshonaji anachoweza ni kubadili sindano, kubadilu bobbin na vtu vingne vidogo vidogo tu.