A
Anonymous
Guest
Tusaidieni kupaza sauti kwa wahitimu wa Masters chuo Cha Uhasibu Arusha IAA, graduation ni Ijumaa ya tr 13 December , mpaka sasa matokeo ya utafiti hayajatolewa , majina ya wanaotakiwa kuhitimu hayajatolewa. Yaan hamna kitu kinachoeleweka na wahusika wapo Kimya hawasemi shida Nini Nini