A
Nyie ndio mnasoma Master kwa mwaka mmoja 🤣Chuo Cha Uhasibu Arusha wahitimu wa Masters tunazungushwa , graduation imetangazwa tangu mwezi wa Kumi na Moja kwamba itafanyika tr 13 December , ambayo bado siku 4 tu. Mpaka sasa matokeo ya utafiti (Research) bado hayajatolewa, majina ya wahitimu wanaotarajia ku graduate bado hayajatolewa, bado hatujaruhisiwa ku print Black books , bado hatujapewa Utaratibu wa kupata majoho. Wahusika wapo Kimya mpaka sasa
Ukiona hivyo ujue hujakidhi vigezo vya ku graduate mwaka huu jipange kwaTusaidieni kupaza sauti kwa wahitimu wa Masters chuo Cha Uhasibu Arusha IAA, graduation ni Ijumaa ya tr 13 December , mpaka sasa matokeo ya utafiti hayajatolewa , majina ya wanaotakiwa kuhitimu hayajatolewa. Yaan hamna kitu kinachoeleweka na wahusika wapo Kimya hawasemi shida Nini Nini
Tatizo ni sera ambayo inavitaka vyuo kujiendesha kwa mapato yao yaTCU naona kama hawako makini na kazi yao. Chuo cha Uhasibu unakuta kinafundisha mpaka Public administration, BA Education etc. vyuo vijikite kwenye taaluma zinazowatambulisha
Nimekuja kugundua vyuo vingi vya kibongo vinanzisha utitiri wa kozi ilihali haina wataalamu wa hizo kozi au wako wachache swala la kuajiri wataalam linakuja baadae sanaTCU naona kama hawako makini na kazi yao. Chuo cha Uhasibu unakuta kinafundisha mpaka Public administration, BA Education etc. vyuo vijikite kwenye taaluma zinazowatambulisha