Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Chuo cha Uhasibu Arusha kinawatangazia Wanafunzi wote wa kozi
za ngazi ya Cheti hadi Stashahada ya Uzamili kwamba chuo kitafunguliwa siku ya
Alhamisi tarehe 23 Mei, 2013.
Kuanzia tarehe 23 hadi tarehe 27 Mei, 2013 kutakuwa na zoezi la usajili katika lango kuu la kuingia chuoni kwa kuzingatia mashartiyafuatayo:
1.Kila Mwanafunzi aliyeomba upya kujiunga na chuo anapaswa
kuonyesha kitambulisho chake cha chuo.
2.Kila Mwanafunzi aje na risiti au "Bank pay in slip" ya kuonyesha
malipo ya karo na fedha zote anazodaiwana chuo.
3.Kila Mwanafunzi anapaswa kuingia mkataba mpya na Chuo.
Mkataba huo unapaswa kusainiwa kabla Mwanafunzi
hajasajiliwa.
4.ANGALIZO: Hakutakuwepo na usajili baad
a ya tarehe 27 Mei,2013.
5.tarehe 28 kutakuwa na mkutano wa wanafunzi
6.Mitihani ya final na progress test itaanza tareje 3