Chuo cha uhasibu

Chuo cha uhasibu

Akthoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2007
Posts
1,001
Reaction score
1,021
Kijana anataka kuwa Mhasibu; amemaliza kidato cha 4 mwaka huu, Div 4. Ana 'D' 5 ikiwepo ya Maths na English.
Je chuo gani hapa Dar mnachomshauri ili hatimaye atimize ndoto zake?
Tunaomba ushauri tafadhalini.
 
Kwa hayo matokeo! kwa kwel inaweza mgarimu karne moja kutimiza ndoto zake.. BTW, ajaribu ku-apply cheti pale IAA,TIA,IFM and the like...:eyebrows:
 
Back
Top Bottom