Mkweli77 JF-Expert Member Joined Jul 26, 2013 Posts 1,459 Reaction score 1,135 Sep 7, 2013 #21 Naishi nacho karibu sijakichunguza kiundani ngoja nichunguze nitakupa jibu
Massa JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 684 Reaction score 854 Sep 7, 2013 Thread starter #22 Mkweli77 said: Naishi nacho karibu sijakichunguza kiundani ngoja nichunguze nitakupa jibu Click to expand... Tafadhari fanya hivyo ndugu utakua umenisaidia sana ni nitatumia uchunguzi wako kumshawisha mdogo wangu. Asante mkweli77
Mkweli77 said: Naishi nacho karibu sijakichunguza kiundani ngoja nichunguze nitakupa jibu Click to expand... Tafadhari fanya hivyo ndugu utakua umenisaidia sana ni nitatumia uchunguzi wako kumshawisha mdogo wangu. Asante mkweli77
kifumbiko JF-Expert Member Joined Oct 29, 2012 Posts 213 Reaction score 44 Sep 7, 2013 #23 Alikuwa anafaa kwa d nne ila ni tatizo liko kwenye bios.me nina dogo nataka nimpeleke kwenye chuo cha hapo fire kama waelekea dit.
Alikuwa anafaa kwa d nne ila ni tatizo liko kwenye bios.me nina dogo nataka nimpeleke kwenye chuo cha hapo fire kama waelekea dit.