Chuo cha urembo Mwanza

FighterOne

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2016
Posts
313
Reaction score
277
Jamani kuna mdogo wangu kafeli matokeo ya form IV sasa nafikiria kumpeleka katika fani za kujiajiri na nimewaza hairdressing na mambo kama hayo ya urembo.

Je , kwa hapa Mwanza ni sehemu gani anaweza kupata mafunzo hayo?

Msaada please!
 
Ni Nifo beauty College kipo mwanza kwa Flora lauwo aka flora show and production mm pia naenda pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…