Nimesoma mahali watu wanalalamika kuhusu marubani wa kitanzania. Kumfundisha rubani mmoja kupata commercial license inachukua karibu dola 40,000 au zaidi kwa mafunzo ya miezi mitano hadi minane. Je Tanzania kuna soko hilo kuwezesha ufunguzi wa chuo chenye sifa za kimataifa kwa haraka haraka?