Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Habari wana JF, Nina mdogo wangu anataka kusomea Diploma in Tourism kwenye chuo chochote kilichosajiliwa na NACTE.Kwa yeyote anayejua chuo hicho tafadhali anitajie jina,naomba pia na mawasiliano yake.Asante.