Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,273 Reaction score 13,567 Oct 28, 2013 #1 Habari wana JF, Nina mdogo wangu anataka kusomea Diploma in Tourism kwenye chuo chochote kilichosajiliwa na NACTE.Kwa yeyote anayejua chuo hicho tafadhali anitajie jina,naomba pia na mawasiliano yake.Asante.
Habari wana JF, Nina mdogo wangu anataka kusomea Diploma in Tourism kwenye chuo chochote kilichosajiliwa na NACTE.Kwa yeyote anayejua chuo hicho tafadhali anitajie jina,naomba pia na mawasiliano yake.Asante.