Chuo cha utalii

oliver james

New Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
1
Reaction score
0
Jamani wapendwa mimi natafuta chuo cha utalii chochote kilichopo dar es salaam naombe msada wenu viwe mchanganyiko
 
Mkuu soma kingine na si utalii,utalii umekufa maana landing fee ya ndege iko juu,ugaidi ndo huo,anguko la uchumi,ila kama vp karibu ila utarudi ulikotoka
 
nenda chuo cha taifa cha Utalii kipo Tandika mkabala ya chuo cha bandari
 
Jamani wapendwa mimi natafuta chuo cha utalii chochote kilichopo dar es salaam naombe msada wenu viwe mchanganyiko
Nenda pale posta mpya kuna national collage of tourism ni mkabala na makumbusho ya taifa au bank ya baclays ni cha serikali wanatoa cheti na diploma.UKITAKA DEGREE NENDA SUA ,MWEKA TUMAINI..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…