Chuo cha utumishi wa umma kulikoni.

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,217
Chuo cha utumishi Wa Umma Kampasi ya Tabora kimeingia kwenye utata na Wanafunzi wake baada ya Mwalm Aitwae ALEX Ndaikiza kuwaandikia barua Wanafunzi wote Waliokuwa Diploma Mwaka Wa 2 semista ya tatu kuwa Wanatakiwa ku graduate Ili wapewe Technician certfkate ni NTA LEVEL 5,Then Wasome diploma ya Mwaka 1,hapo hapo wakawaidi kuwa Transcrpt itakuwa na semista Zote Nne bt certfkate ya diplm itakokotolewa GPA kwa semista 2 U.
Wao Nacte inawatambua Kwa NTA LEVEL 4,NTA LEVEL 5,NTA LEVEL 6.
Je ni kweli NACTE inatoa diploma kwa semista 2,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…