Chuo cha veta cha mkoa upi kinafundisha short course ya STEEL FIXING/USUKAJI WA NONDO?

Chuo cha veta cha mkoa upi kinafundisha short course ya STEEL FIXING/USUKAJI WA NONDO?

Mropoka Hovyo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2023
Posts
446
Reaction score
1,253
Wakuu chuo gani Cha veta hapa Tanzania wanafundisha kozi fupi ya steel fixing/USUKAJI WA nondo na ada yake ni kiasi gani?

NB:Kama Kuna sehemu wanafundisha hata kama sio veta naomba mnielekeze wakuu nitalipia gharama za mafunzo.
 
Yaani ukasome steel fixing VETA?? kwa Tanzania unapoteza sana muda, Nenda site tafuta fundi akulipe kwa mizingua huku ukijifunza

jipe miaka 2 kuwa chini ya mtu.

mwisho: Inalipa sana tatizo wachina wameharibu soko pia mafundi wanadhulumiwa sana
 
Back
Top Bottom