M Mropoka Hovyo JF-Expert Member Joined Sep 28, 2023 Posts 446 Reaction score 1,253 Jan 3, 2025 #1 Wakuu chuo gani Cha veta hapa Tanzania wanafundisha kozi fupi ya steel fixing/USUKAJI WA nondo na ada yake ni kiasi gani? NB:Kama Kuna sehemu wanafundisha hata kama sio veta naomba mnielekeze wakuu nitalipia gharama za mafunzo.
Wakuu chuo gani Cha veta hapa Tanzania wanafundisha kozi fupi ya steel fixing/USUKAJI WA nondo na ada yake ni kiasi gani? NB:Kama Kuna sehemu wanafundisha hata kama sio veta naomba mnielekeze wakuu nitalipia gharama za mafunzo.
Myahudi Jr II JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 6,816 Reaction score 8,809 Jan 4, 2025 #2 Yaani ukasome steel fixing VETA?? kwa Tanzania unapoteza sana muda, Nenda site tafuta fundi akulipe kwa mizingua huku ukijifunza jipe miaka 2 kuwa chini ya mtu. mwisho: Inalipa sana tatizo wachina wameharibu soko pia mafundi wanadhulumiwa sana
Yaani ukasome steel fixing VETA?? kwa Tanzania unapoteza sana muda, Nenda site tafuta fundi akulipe kwa mizingua huku ukijifunza jipe miaka 2 kuwa chini ya mtu. mwisho: Inalipa sana tatizo wachina wameharibu soko pia mafundi wanadhulumiwa sana