Jnk official
Member
- Nov 25, 2024
- 24
- 20
Habarini wanaJF, nina mdogo wangu amemaliza form four mwaka jana na ameomba tumtafutie chuo bora cha VETA akasomee kozi ndefu ya umeme, ana pass ya C 2 na D 4 maana anapenda sana umeme so nilikuwa naomba kwa mwenye uzoefu anisaidie kimawazo ni chuo gani cha veta bora ARUSHA. Au hata sehemu nyingine kama kuna anayejua anisaidie
NB: Dogo anapenda sana umeme na anaamini kuna kitu anacho so nisaidieni kwa hilo.
NB: Dogo anapenda sana umeme na anaamini kuna kitu anacho so nisaidieni kwa hilo.