Zedekiah Member Joined Jul 9, 2009 Posts 47 Reaction score 18 Aug 22, 2012 #1 Jamani wadau naombeni mnijuze kuhusu hili hv ni Chuo gani hapa Dar kinatoa Msc in IT au Comp science ukiacha UDSM?
Jamani wadau naombeni mnijuze kuhusu hili hv ni Chuo gani hapa Dar kinatoa Msc in IT au Comp science ukiacha UDSM?
UKI JF-Expert Member Joined Jun 12, 2012 Posts 691 Reaction score 173 Aug 22, 2012 #2 Mkuu ifm wanatoa Msc information technology and management fees yao ni $6000 tu. iko poa sana haina longo longo
Mkuu ifm wanatoa Msc information technology and management fees yao ni $6000 tu. iko poa sana haina longo longo