Chuo gani kina ada nafuu kwenye Post graduate diploma?

Mfarisayomtata

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
474
Reaction score
188
Wadau habari,

Hivi chuo gani kina ada nafuu kwa kusoma post graduate diploma ya education? Kama ukiweka na vigezo itakuwa safi sana.

Nawasilisha
 
wadau habari, ivi chuo gani kina ada nafuu kwa kusoma post graduate diploma ya education? Kama ukiweka na vigezo itakuwa safi sana. Nawasilisha....

chuo kikuu cha arusha, ada milioni mbili hadi unamaliza hiyo kozi. open university ni milioni 3 na chuo kikuu cha dar ni milion 3.4 hadi unamaliza.
 
kigezo uwe na bachelor degree na ufaulu wa kuanzia gpa ya 2.7 na kuendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…