Chuo gani kinasifika kufundisha vizuri kozi za ufundi magari?

Chuo gani kinasifika kufundisha vizuri kozi za ufundi magari?

Elongolongo

Member
Joined
Oct 29, 2023
Posts
23
Reaction score
26
Habari za asubuhi wakuu.

Naomba kuuliza, ni chuo gani cha ufundi kinachosifika kwa kufundisha vizuri kozi za ufundi magari (hasa auto electricity).

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu nyote.

Asante.
 
Habari za asubuhi wakuu. Naomba kuuliza, ni chuo gani cha ufundi kinachosifika kwa kufundisha vizuri kozi za ufundi magari (hasa auto electricity). Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu nyote. Asante.
Nenda VETA yoyote huko ndo Kuna magwiji hizo Kazi.
 
Habari za asubuhi wakuu.

Naomba kuuliza, ni chuo gani cha ufundi kinachosifika kwa kufundisha vizuri kozi za ufundi magari (hasa auto electricity).

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu nyote.

Asante.
(KIST) ZNZ
 
Back
Top Bottom