E Elongolongo Member Joined Oct 29, 2023 Posts 23 Reaction score 26 Nov 6, 2023 #1 Habari za asubuhi wakuu. Naomba kuuliza, ni chuo gani cha ufundi kinachosifika kwa kufundisha vizuri kozi za ufundi magari (hasa auto electricity). Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu nyote. Asante.
Habari za asubuhi wakuu. Naomba kuuliza, ni chuo gani cha ufundi kinachosifika kwa kufundisha vizuri kozi za ufundi magari (hasa auto electricity). Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu nyote. Asante.
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Nov 6, 2023 #2 Elongolongo said: Habari za asubuhi wakuu. Naomba kuuliza, ni chuo gani cha ufundi kinachosifika kwa kufundisha vizuri kozi za ufundi magari (hasa auto electricity). Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu nyote. Asante. Click to expand... Nenda VETA yoyote huko ndo Kuna magwiji hizo Kazi.
Elongolongo said: Habari za asubuhi wakuu. Naomba kuuliza, ni chuo gani cha ufundi kinachosifika kwa kufundisha vizuri kozi za ufundi magari (hasa auto electricity). Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu nyote. Asante. Click to expand... Nenda VETA yoyote huko ndo Kuna magwiji hizo Kazi.
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 5,962 Reaction score 17,648 Nov 6, 2023 #3 Arusha tech au Mbeya
Kweli tu JF-Expert Member Joined Dec 25, 2022 Posts 397 Reaction score 448 Nov 6, 2023 #4 Elongolongo said: Habari za asubuhi wakuu. Naomba kuuliza, ni chuo gani cha ufundi kinachosifika kwa kufundisha vizuri kozi za ufundi magari (hasa auto electricity). Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu nyote. Asante. Click to expand... (KIST) ZNZ
Elongolongo said: Habari za asubuhi wakuu. Naomba kuuliza, ni chuo gani cha ufundi kinachosifika kwa kufundisha vizuri kozi za ufundi magari (hasa auto electricity). Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu nyote. Asante. Click to expand... (KIST) ZNZ