Chuo gani kinatoa evening class kwa it - diploma course kwa bei nafuu

Chuo gani kinatoa evening class kwa it - diploma course kwa bei nafuu

funny

Senior Member
Joined
Jun 30, 2012
Posts
102
Reaction score
23
Wana jf natafuta chuo cha IT kinafundisha masomo ya jioni kwa bei nafuu.
 
uko wapi? km dar nenda dit, learnt au ucc ila ucc hata mbeya, mwanza, dodoma na arusha wapo
 
Thanks very much wadau.
i will go to UDSM
 
Back
Top Bottom