Pia wanna Project Management (MPM) hatojutiaOpen University, monitoring and evaluation.
Nenda Open University! Iko njema sana kwa Post Graduate Studies, na hiyo course wanayo.Habari wakuu kutokana na kutingwa na Majukumu sana na hivyo sitapata muda mwingi wa kukaa darasani
Nilikuwa nauliza wapi au chuo kipi ninaweza Soma Master's ya project management ambayo ni executive ili isinibane sana kuendelea na majukumu mengine ya kimaisha
Ahsante
Project haina deal kama MnE. Asome MnE itamtoa kimasomaso.Pia wanna Project Management (MPM) hatojutia
Watu wajuaji bado mna mindset ya 1990's ya anatafuta ajira nzuri,unajuaje labda anataka kufanya projects zake binafsi kaona hyo inamfaaProject haina deal kama MnE. Asome MnE itamtoa kimasomaso.
MnE kwa kirefu ni?Project haina deal kama MnE. Asome MnE itamtoa kimasomaso.
Monitoring and EvaluationMnE kwa kirefu ni?
Monitoring and Evaluatio
Yan Post graduate unamwambia mtu asisome kitu hiki asome kile? Kwamba mpaka anachagua MPM hajui??Project haina deal kama MnE. Asome MnE itamtoa kimasomaso.
Tuambie vyuo Bora vya Kenya na Uganda!Tanzania hakuna chuo bora.kama uko vizuri mfukoni nenda china,india,uganda au kenya.