Chuo gani kizuri kusoma ICT?

Chuo gani kizuri kusoma ICT?

DungaMawe

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2022
Posts
1,522
Reaction score
4,630
Naombeni msaada mimi ni muhitimu kidato cha nne

Naomba kufahamishwa chuo kizuri kwa kusoma ICT na gharama zake zipoje
 
Vyuo vingi nadhani vilifunga dirisha la uombaji mwezi uliopita ila labda unaweza kwenda vyuoni phsiccally.

Nenda ucc wapo dar na dodoma, udom wapo dodoma, mzumbe wapo morogoro na dar, kama hesabu zinapanda nenda dit, must au arusha tech.

kozi mbadala ni IT na Information Systems huwa zinaingiliana
 
Kuna vyuo ukisoma kozi zinazohusiana na teknolojia ya kompyuta ni rahisi sana kutoboa kwa maana ya connection, exposure n.k
- UDOM, UDSM, UCC, DIT ST JOSEPH, na vyuo vya kitech zaidi, hivi vyuo vingine utaweza kusoma ndio ila kua mjanja zaidi kujiweka kupata exposure na connection, talking from experience.

Mfano mdogo, kuna mwaka fulani kampuni fulani hapo Dar ilienda moja kwa moja chuo cha Dodoma just kutafuta programmers kwa ajili ya kuwaajiri.
 
Vyuo vingi nadhani vilifunga dirisha la uombaji mwezi uliopita ila labda unaweza kwenda vyuoni phsiccally.

Nenda ucc wapo dar na dodoma, udom wapo dodoma, mzumbe wapo morogoro na dar, kama hesabu zinapanda nenda dit, must au arusha tech.

kozi mbadala ni IT na Information Systems huwa zinaingiliana
Shukran mkuu
 
Back
Top Bottom