Shukran mkuuVyuo vingi nadhani vilifunga dirisha la uombaji mwezi uliopita ila labda unaweza kwenda vyuoni phsiccally.
Nenda ucc wapo dar na dodoma, udom wapo dodoma, mzumbe wapo morogoro na dar, kama hesabu zinapanda nenda dit, must au arusha tech.
kozi mbadala ni IT na Information Systems huwa zinaingiliana
UDSM UCC KWANGU NAONA KUKO VIZURINaombeni msaada mimi ni muhitimu kidato cha nne
Naomba kufahamishwa chuo kizuri kwa kusoma ICT na gharama zake zipoje
Nenda Arusha technicalNaombeni msaada mimi ni muhitimu kidato cha nne
Naomba kufahamishwa chuo kizuri kwa kusoma ICT na gharama zake zipoje