Baada na kuhitimu na kuitumikia ipasavyo Bachelor of Education Special Needs. Nahitaji kua mbobezi Zaid katika maswala ya ukalimani na lugha ya alama, naomba kufahamishwa ni chuo gani hapa nchini kinatoa kozi tajwa kwa level ya Masters
Kwanza nenda kawe Beach Boy Zanzibar ukutane na mabeach boy watakufundisha lugha then after hapo utapa mbibi wa kizungu utampelekea Moto then utapata urithi utajenga hotel
Baada na kuhitimu na kuitumikia ipasavyo Bachelor of Education Special Needs. Nahitaji kua mbobezi Zaid katika maswala ya ukalimani na lugha ya alama, naomba kufahamishwa ni chuo gani hapa nchini kinatoa kozi tajwa kwa level ya Masters
Sign language interpretation haihitaji shahada ya umahiri, maana ni eneo dogo. Tafuta shahada ya umahiri katika Education fulani halafu utafiti wako uufanyie katika hiyo sign language interpretation